Wanaume wa "JF" jamani acheni kutusumbua "dada" zenu kwenye "inbox" Mungu anawaona mjue!

Wanaume wa "JF" jamani acheni kutusumbua "dada" zenu kwenye "inbox" Mungu anawaona mjue!

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
[emoji35]
 
Attachments

  • 1477132496699.jpg
    1477132496699.jpg
    51.2 KB · Views: 68
Bange tu na ww....au ndio unasaka kutongozwa by force
 
Jamani wakaka wa humu ndani ni wasumbufuu loooooh!!! Sijawahi ona

Msione mtoto mzuri ammecoment sehem ,,au picha yake...tayari mshaanza tamaaa,,mnaanza usumbufu inbox

Alafu sasa mtu anantext "Dada mamboo,upo pande zp?"
Mtoto wa kike namjibu " mimi nipo mbagala dar, ww je upo wap"

Anajibu "mie nipo Chato dada,pande za mwanza"

Khaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu kumbe bado ni mwanaume wa "mkoa"

[emoji108] [emoji108] [emoji108] jamani vizuri gharama havipatikani inbox [emoji23] [emoji23]

Acheni usumbufu.......View attachment 422342

Acha kutumia pic za watu huyu Dada ni mshikaj wangu Anaitwa Vania sio yako uumbwe hivyo alafu ujianike kama unataka bwana wanawake kama hao hawajianik wanatafuta boya wew.....
 
Hali ilivyo mbaya kitaa bado wadau wanazingua inbobo duh
 
Lengo lako limetimia ila ungetuma picha yako halisi.
 
Jamani wakaka wa humu ndani ni wasumbufuu loooooh!!! Sijawahi onaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alafu sasa mtu anantext "Dada mamboo,upo pande zp?"
Mtoto wa kike namjibu " mimi nipo mbagala dar, ww je upo wap"

Anajibu "mie nipo Chato dada,pande za mwanza"

Khaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu kumbe bado ni mwanaume wa "mkoa"

[emoji108] [emoji108] [emoji108] jamani vizuri gharama havipatikani inbox [emoji23] [emoji23]

Acheni usumbufu.......
Mwanamke lazima utongozwe
 
Unaposema wanaume wenyewe wa mkoa inadhihirisha kuwa husumbuliwi ila unahisi uhaba kwakuwa wale wa hapo ulipo wote wameonja wakaondoka
 
Back
Top Bottom