Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

Sema ukweli hamkulala central nawajua mameneja wa baa kwa wapenda vya bure kama wewe
 
Unavyolalamika kuwa wanaume wamenakimbia bill mbona wewe umeshindwa kulipa? Eti mkoba mkubwaaaa kumbe una elfu tano, pumbaavu! Hiyo ndo daw yenu sasa.
Wakati mnafikiria kwenda kumchuna mtu mkumbuke pia kuwa hii ni awamu ya 5 sio mnakurupuka tu kama bado tupo awamu ya 4 ya uongozi. Kuna baadhi ya mambo ambayo yalikua yanafanyika kirahisi katika awamu ya 4 na katika awamu hii hayawezekani tena. Someni alama.
 
Mnapenda vya bwerere eeeh! Maisha si kukomoana!
Hapo si ajabu mngejitoa wenyewe mngekunywa Pisner Ice au Balimi mtoto wa watu mkataka kunyonyoa kama kuku wa Christmas!
 
Hata ingekua mimi mwanaume ningekukimbia. Ukute hapo wewe mwenyewe hufananii hata kulipiwa bill ya 20k. Saa zingine sio kwamba hana hela ameona kwanini alipie bill hela yote hiyo wakati hana mpango wa kukuona tena.
 
kwa nini usiseme tuu kuwa uliliwa na wasamalia wema wakakusaidia kulipa bili,ilitokeaga hiyo moshi dada katumiwa nauli na jamaa,mdada kavuta na shosti wake sasa jamaa hata hakuambiwa,badae wakawa wamefika jamaa alikuwa ofisini akawaambia kama mmekuja wawili tafuteni bar yoyote muanze kupiga kinywaji,mashost wakafurahi1 kama ilivyo kawaida wakawa kama wanakomoa,kama lisaa hivi baadae jamaa kazima simu,mashost walichanganyikiwa kama mvuvi ametoboa mtumbwi katikati ya bahari,ilibidi washkaji wanosoma Mwika chuo cha wanyama pori wa clie bili wakaenda kuwapiga mtungo aka fiesta,wakawapa na nauli ya kurudia kesho
 
nashukuru kakukomesha, tena yeye ni mjinga mimi ungefika tu, ningesema nimepatwa na dharula so out nimeihairisha naondoka
 
Hata ingekua mimi mwanaume ningekukimbia. Ukute hapo wewe mwenyewe hufananii hata kulipiwa bill ya 20k. Saa zingine sio kwamba hana hela ameona kwanini alipie bill hela yote hiyo wakati hana mpango wa kukuona tena.
teh teh teh umemaliza
 
Tena kawastahi ningekuwa mie ningewamsha amsha kuagiza mpk bili ifike laki 6 ivi halafu kituuu nikifika home najifunika shuka gubi gubi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ata mimi ningekukimbia!!! Hayo mengine majaribu na uonevu aisee!!! [emoji23][emoji23]
Hivi kudate mwanamke wa hivi si ujinga kweli? Unaitwa out unachukua furushi la watu mnabebana kama vile kwenu hamna chakula?

Mimi ningemwambia live, nimekuita wewe na sio rafiki zako, hujitambui kwa hiyo siwezi hata kukaa na wewe, goodbye!!

Paprika ndio umekataa kujaribu kwa wakubwa[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
 
Sisi sio watu wa kispotspot,unabeba beg kubwa kama umeweka kichwa cha bashite halafu ndani una buku 5,now kila mtu atumie za kwake
 
Kwahiyo richaabra na wenzako viuno feni,
Kikichowapeleka kwa huyo jamaa ni njaa zenu tu.
Mlikula na mkanywa na mkaja kulipiwa polisi.
Jitahidini sana na hizo njaa zenu
 
Hivu ungekuja peke yako unafikiri hayo yote yangetokea unapokula vya watu shurti nawe ukubali kuliwa
 
Hata ingekua mimi mwanaume ningekukimbia. Ukute hapo wewe mwenyewe hufananii hata kulipiwa bill ya 20k. Saa zingine sio kwamba hana hela ameona kwanini alipie bill hela yote hiyo wakati hana mpango wa kukuona tena.
Nkome bibi eeeeh
 
Bratan huyu unaweza kumwita guest still akaja na rafiki zake..Bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…