Hahaa umeua, yani mwanuma ndala ndefu, lipstick imekolezwa kikopo kizima, weaving limeokotwa baada ya kutumiwa na three users, dera hiloo hahaa kiding! Afu mezani anaongea kama chiriku kama hivyo alivyoandika kisha kidume unaunguza fedha zako laki 2.5 kweli,Hata ingekua mimi mwanaume ningekukimbia. Ukute hapo wewe mwenyewe hufananii hata kulipiwa bill ya 20k. Saa zingine sio kwamba hana hela ameona kwanini alipie bill hela yote hiyo wakati hana mpango wa kukuona tena.
Yaani nilikuwa naisubiri komenti yako kana vile nasuburia tamthilia ya TAUSIWe uliitwa na rafiki zako ?huna pesa unaagiza vitu vya gharama ni lazima ukimbiwee
Kwa hiyo aliyetoka mbio hapo anatuwakilisha wote...??tehe tehe tehe
kaz ipo
Me wa jf kumbe mbwembwe nyingi majukwaani lakini mifukoni watupu
Ila na wewe shoga ni mswahili wa kimataifa khaaaaaa ndio nini hivyo kumfanyia mwenzako?
tehe tehe tehe hapanaKwa hiyo aliyetoka mbio hapo anatuwakilisha wote...??
Kwa tuseme humu JF ukimwita mwanamke yeyote WOTE MNA TABIA ZA KUJA DARASA ZIMA?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Hapo kwenye weaving umeua kabisa. Sema anafanania wadada flan wa kiswahili akipata appointment ndo kala la sivyo siku inapita.Hahaa umeua, yani mwanuma ndala ndefu, lipstick imekolezwa kikopo kizima, weaving limeokotwa baada ya kutumiwa na three users, dera hiloo hahaa kiding! Afu mezani anaongea kama chiriku kama hivyo alivyoandika kisha kidume unaunguza fedha zako laki 2.5 kweli,
Cha ajab mwenyewe anaisikia kwenye radio hiyo hela ndio maana laki 2 tu ukalala central.
Ila nimefurahi kama ni kweli next time uswahili utakuwa umekutoka
Hamna pasword hapo just "slide to unlock"Nna password babu eeeeh
Una akili wwKabisaaa! We bili laki mbili na upuuzi hukoo... Si mtaji wa biashara kabisa huo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Hapo kwenye weaving umeua kabisa. Sema anafanania wadada flan wa kiswahili akipata appointment ndo kala la sivyo siku inapita.
Siku nyingine nenda peke yakoHeheeee[emoji2] [emoji108] [emoji108] ana bahati
Huyo jamaa mjanja sana. Tena nampa big up. Huwezi kunfanya mtu boya kirahisi namna hiyo na usawa huu.Heheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii
Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii
Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.
Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]
ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo
Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.
Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"
Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani
Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.
Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe
Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.
Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua
Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]
Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla
Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri
Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena
Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee
Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke
Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani
Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!
Mxieww
Mnapeana sifaa tuHuyo jamaa mjanja sana. Tena nampa big up. Huwezi kunfanya mtu boya kirahisi namna hiyo na usawa huu.
Wewe mwenyewe una 5000 then unamchuna mwenzako pesa yote hiyo.
Safi sanaaaaaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]