Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

Heeee kwani hujui hawana pesa?
Hata chumba cha gest wanakutegemea uwalipie;
Labda angekuwa ni Jamal Malinzi, wengi wengine ni
wanaume sarawali tu.

Hebu mtaje;
mamndenyi inaonekana muhanga sana humu nakumbuka yule uliyemsema ana dushe mpk mguuni [emoji23][emoji23]
 
Mnapenda sana mteremko kwani hata ukiwa na hao shoga zako km alikuwa anahela na lengo baya angeshidwa kukufanyia
 

Kaaandike na hili [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
hhahhahahahhahhhhhhhhhhhhhaaa mbavu zangu mie
 
Ndo mkome kuagiza kwa kukomoa watoto wa wenzenu safi sana wanaume wa jf na dar kwa fundisho zuri.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mabinti wa town bwana! mnachukulia maisha rahisi rahisi tu!

Huwa natamani siku moja nipate zali kama hilo, nitawachezesha movie moja matata hadi Trump atakimbia kuja kupiga chabo!
 
Kelele zooooote hizo umeenda na marafiki watatu na ukawa na Buku 5..alafu unajiita wa mjini..ama kweli were ni zero brain
 
Hata mimi ningekuacha hapo hapo mi nataka papuchi yako unaleta na zilizotoboka nataka mishimo mirefu mie nendaga huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…