watu sasa tunatafuta nyumba ndogo tena , wewe ndo kwanza unauliza tunaowa lini? hehehehe hivi na wewe unaolewa lini?
hehehe na mimi nilikumiso kweli mpaka nikawa samtaimu naandika jina yako kwenye kanote book kaofisini. nilikuwa kwenye konfrensi ya global warming nchini bangaladeshistanhalafu wewe baada ya WC ndio ukapotea kabisa....nimekumiss mwenzio ujue
Kesho
Ni wazo zuri tu ila mkubwa, wengine tumeamua kuwa waseja kimaisha so not only that we are Celibates but also we straggle to live Chastity!....TAFUTA MCHUMBA
Kumbe bado hawajaoa ??
Si kwamba hatujaoa mama bali pia hatuoi, ni waseja mama si wajua maisha yetu?
Not at all Rose ni uamuzi wa kimaisha huu wala si kwamba sijawaona wakufaa nimeamua kuwa hivi nilivyo kama mkombozi alivyokuwa ili niiendeleze kazi yake!hujampata tu wa ubani wako,ukimpata utasimulia mengine..
kuoa au kutokuoa.. hilo ndilo swali? Lakini kwani kuna mashindano kwamba ukichelewa basi utakosa?
Hakuna kitu kinachosababisha majuto na machungu ndani ya maisha ya ndoa kama kuja kutambua kuwa ulikimbilia ndoa kwa sababu watu wengine wote walikuwa wanakuhimiza utimize wajibu.