Wanaume wa jf manaoa lini?

Nishaoa mie nina mke na watoto wawili na kizazi nishafunga
 
Chakubanga aliulizwa enzi hizo gazeti ni la Chama tawala tu, eti wewe unaionaje ndoa? akajibu kuwa 'ndoa ni kama ngome alioko ndani anataka kutoka, alioko nje anataka kuingia,' imekaaje hii? :shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock:
 
Ndoa .............ndoano......................... haionjwi kAMA asali vile baba, usidanganyike, jiandae kabsaaaaaa
 
Huyu nae aliingia kwene ndoa kwa kufuata maelekezo yasiyo sahihi

Saa hizi anajuuuta kuoa, kidada chukueni ujuzi huo, ntawasaidia how to publish them na kuficha ID zenu.
 
Huyu nae aliingia kwene ndoa kwa kufuata maelekezo yasiyo sahihiView attachment 12162

Saa hizi anajuuuta kuoa, kidada chukueni ujuzi huo, ntawasaidia how to publish them na kuficha ID zenu.

Nemeipenda twiritu! Ila mke wangu akiiona hii lazima ataiapply tu maana anakaba mpaka penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…