Hahaaaa usijali nawajua kama kiganja changuSafi sana my wii.
Ukweli humuweka mtu huru.
Usidanganyike na wanaume wa humu wii
Hahahhha
Akija najisaidia mafungu mafungu mpaka kwetu Lushoto.
Huwa najiuliza ni wangapi anaowapa uongo kama huu?
Wangapi wameingia kwenye 18 zake na akawalala kwa sytle hii?
Ila yule kaka mzuri sana ila aache kufake life.
Pambe tu.Acheni kujifariji na uchoko wenu eti I'd maarufu ni wabovu nyie kubalini hamna mbele wala nyuma tu kama namikiki tecno wereva yangu hapa najiamini na ubovu wangu. Hahaha huu uzi umewatoa povu wanaume pole ni pambaneni na Hali yenu
Meona eeeeHahaaaa usijali nawajua kama kiganja changu
Umeona eeehKujikubali nako K bwana [emoji4]
Eti leo I'd maarufu ni wabovu humu JFPambe tu.
Hahahah.....wameshikwa pabaya na mtoa mada leo.
I'd maarufu ndo wabovu.
Hahahajah......wapambane na hali zao kiukweli
We kama mimi tu.Hawezi Kuja huku. Mimi bora nimtunuku mtu kipochi bora na sio Kuja na swaga sijui namiliki hichi na kile hunipati ng'o jf si pakuwa na mahusiano. Huyo kaka wa chuga kiboko
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Wanatafuta pa kujitolea stress zao.Eti leo I'd maarufu ni wabovu humu JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
We kama mimi tu.
Mie ukija na uongo kama utachunwa jua utachunwa tu hamna namna.
Na kama akitaka K hata bure nampa...ila why ajimilikishe vitu ambavyo hamiliki na wala hana ndoto za kumiliki?
Almost 80% ya wanaume wa humu wanaishi fake life.
AtasikiaHahaaaaa wii msalimie huyu jamaa
Wanatafuta pa kujitolea stress zao.
Leo ndo wanajua, awali walikuwa wapi kutoa huu ushuhuda.
Wameshikwa pabaya sana na mtoa mada
Hahahhahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta anafagia kwenye hiyo kampuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhahah
Kwa kweli....tena mfagizi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atasikia
Nitaenda kumpa salamu zake Pm hapa hawezi kutia mguu
Hii inaitwa The Power of Pussy.Si bora uombe papuchi Bila uongo watunukiwa mpaka wakinai uongo haufai kabisa mwishowe udaganye una miliki had ikulu Ili iweje
Nimeona shooUmeona eeeh
Mwanamke hata akae miaka hana kazi, atakula na kufanya kila kitu.Bora sie wabovu tukidanga hatufi na njaa wala kupauka aisee. Wasijilinganishe na sisi