Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hii inaitwa The Power of Pussy.
Watu wanahangaika ili wapate hio Pussy.
Asa si aseme direct tu kama anataka pussy kuliko kuiba picha ya makampuni ya watu!!
Umeona eeeh never underestimate the power of pussy kabisa. Mwishowe ushtakiwe kwa uongo
 
Kweli kabisa mwanamke akijipanga hafi na njaa kabisa wala stress. So wanaume msijilinganishe na sie bwana sie wabovu Ila twaweza danga na kuishi vzuri tu
Mwanamke hata akae miaka hana kazi, atakula na kufanya kila kitu.
Wakae wao sasa kama hawataishia kwenye kuolewa....hahahah
 
Ninamshukuru Mungu wadau wote niliowahi kukutana nao kibiashra walikua waaminifu na tunaendelea vizuri sema kwenye msafara wa Mamba Kenge hawakosi.
 
Kweli kabisa mwanamke akijipanga hafi na njaa kabisa wala stress. So wanaume msijilinganishe na sie bwana sie wabovu Ila twaweza danga na kuishi vzuri tu
Afu hii tabia ya kudanga kwa wanaume sijui ameileta nani.
Why wakabe nafasi zetu?
Wanaona tunafaidi sana au....mwanamke mbovu ila analindwa na papuchi yake.
Watu hawat*mbi sura waambie...mambo yote huko down.

Acha tubaki na I'd zetu maarufu ila hatufi njaa mjini hapa
 
Mie naomba nikutane nawe. Naishi Mbagala Kibonde Maji, nimepanga chumba kimoja. Nnauza mkaa baada ya kukosa ajira kutokana na kufeli mtihani wa kidato cha pili mara mbili. Karibu unione sijafeki chochote
 
Dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura kachumbari tu jamani watuache wenye sura zetu za Private
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura kachumbari tu jamani watuache wenye sura zetu za Private
Watu tuna sura za babu zetu marehemu ila kutwa kuja kutudangia Pm.
Asa sijui wanahadaika na nini
 
Huwa mnakutana kwa ajili ya nini?
 
Hapo sasa.
Sizitaki mbichi hizi kumbe uwezo wa kuzimiliki hana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo chacha.
Eti sura mbovu wakati kutwa kuja kujazana Pm.
Asa huko wanataka nini?
Wanaume jamani hawaeleweki wanachotaka.
Waseme kauli moja basi tuwaelewe.
Ukiwa mkweli...watasema unadanga.
Ukiwa muongo...unaanzishiwa uzi
 
Hapo chacha.
Eti sura mbovu wakati kutwa kuja kujazana Pm.
Asa huko wanataka nini?
Wanaume jamani hawaeleweki wanachotaka.
Waseme kauli moja basi tuwaelewe.
Ukiwa mkweli...watasema unadanga.
Ukiwa muongo...unaanzishiwa uzi
Hahahaaa hawaeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…