Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Ana I'd tatu huyo mjamaa.
Kil I'd anajitambulisha anaishi mikoa tofauti.
I'd ya kwanza anasema yeye ni kijana mdogo, yapili na ya tatu ni mtu mzima
Mkichat sana anakuomba pesa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mwenye uzii huu kakimbilia wapi aisee ana acha watu wana jadili kidume mwengine
 
Forex is not for everyone! Huo msemo tumewekewa sisi vichwa maji

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahaaa mi nilimkataa bna mtu Simjui nimpeleke wapi halafu Mimi ataniweza basi me napenda mwanaume simple.ila last time aliniambia amekuoa eti.kumbe umemkimbia? Sio fair bna.
We amuoe nani?
Akha! Bado nadanga kwanza.

Unajua unanichanganya.
Kakuacha au umemuacha?
Ila uache kupenda pesa unaona sasa umekosa ndoa na mwanaume.
Hv si analingana na baba yako yule kiumri au naona vibaya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye uzii huu kakimbilia wapi aisee ana acha watu wana jadili kidume mwengine
Vita ya JF mara nyingi tunatuma ndege zisizo na abiria.

Una tweet kama Trump.... "Iran must be disciplined"

Halafu unazima data... unatafuta ndege ziszo na abiria au kundi unalikodishia Silaha nendeni Iran.
 
Hehehehe nilichoelewa ww ni biashara huria
No offence mamangu
 
Vita ya JF mara nyingi tunatuma ndege zisizo na abiria.

Una tweet kama Trump.... "Iran must be disciplined"

Halafu unazima data... unatafuta ndege ziszo na abiria au kundi unalikodishia Silaha nendeni Iran.
🀣🀣🀣Toka Jana wambeya tuna Subiri kwa hamu na shauku kubwa Screenshot DaJane ukuje jamanii tumekuhamu why umeutelekeza uzi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toka Jana wambeya tuna Subiri kwa hamu na shauku kubwa Screenshot DaJane ukuje jamanii tumekuhamu why umeutelekeza uzi.
Mkuu wewe ni mwanamke? au mwanamme?

Nilikuqoute kama mwanamme ila chini umejieleza kama mwanamke...
 
Afu ukute jamaa lilizibua mtaro,hawezi hata kukaa vizuri kazi kuja kulalamika tu humu.
 
Mkuu wewe ni mwanamke? au mwanamme?

Nilikuqoute kama mwanamme ila chini umejieleza kama mwanamke...
Nzote nazo mkuu 🀣🀣🀣🀣
 
Ila best huyo mtu mnaye mzungumzia mbona na sisi wengine hatumjui jamanii tuambieni na sisi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hahahahah
Unaambiwa mpira dakika 90.
Dk 90 hazijafika bado...atajulikana tu.
Ila dah! wanaume wana hatari sana, unawezaje kuomba pesa pm kwa mwanamke ambae humjui wala hakujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…