Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Aniache kwani nilimdate lini? Mtu ambae anadai mke alimkimbia me najipeleka kufanyeje kwa mfano.hela naipenda Ila sio ile madam.yule mzee ana ahadi kemkem utadhani anagombea uraisi ccm.aliaidi kunipeleka kusoma nje ujue.We amuoe nani?
Akha! Bado nadanga kwanza.
Unajua unanichanganya.
Kakuacha au umemuacha?
Ila uache kupenda pesa unaona sasa umekosa ndoa na mwanaume.
Hv si analingana na baba yako yule kiumri au naona vibaya?
We ulingane na nani?Kweli sijaridhika. Ila madam..mi sio mdogo wako banaa.. nahisi tunalingana [emoji1787][emoji1787]
Sie tunafata misemo ya mababu zetu.Unamtoa ,,una acha wengine wanapiga mbizi
Thubutuuuuu mi muhenga pia my dear..We ulingane na nani?
Humu hakuna anaenipata...sema tu najibebishaga
Heheheheh pole sana.Aniache kwani nilimdate lini? Mtu ambae anadai mke alimkimbia me najipeleka kufanyeje kwa mfano.hela naipenda Ila sio ile madam.yule mzee ana ahadi kemkem utadhani anagombea uraisi ccm.aliaidi kunipeleka kusoma nje ujue.
Basi I'd yako inakubeba.Thubutuuuuu mi muhenga pia my dear..
Sizeeki ng'oBasi I'd yako inakubeba.
Una I'd ya usichana.
Mie I'd yangu konki ya kizee
Kwa kweli huzeeki mwaya.Sizeeki ng'o
😂😂😂Hakuna kitu kibaya kama hicho kuelezea mahusiano yaliyo pita kasoro zake yeye angedili na wewe tu huyo ni mzee kweli au kivulanaAniache kwani nilimdate lini? Mtu ambae anadai mke alimkimbia me najipeleka kufanyeje kwa mfano.hela naipenda Ila sio ile madam.yule mzee ana ahadi kemkem utadhani anagombea uraisi ccm.aliaidi kunipeleka kusoma nje ujue.
Kwahiyo huyo jamaa wa chuga mnaemzungumzia ni mzee?,kwa maana hio hii kashfa haituhusu ss vijana sio...Aniache kwani nilimdate lini? Mtu ambae anadai mke alimkimbia me najipeleka kufanyeje kwa mfano.hela naipenda Ila sio ile madam.yule mzee ana ahadi kemkem utadhani anagombea uraisi ccm.aliaidi kunipeleka kusoma nje ujue.
Kwahiyo huyo jamaa wa chuga mnaemzungumzia ni mzee?,kwa maana hio hii kashfa haituhusu ss vijana sio...
Hahaha haha ukweli unaofanana na uongoMlivyo na gubu,Mnajifariji tu,ukute hamjatongozwa siku nyingi mnabaki kujipa moyo tu.
Kwangu alikuja kama Mzee si unajua me napenda wazeeUshaambiwa ana marika yote!
Kijana yeye mzee yeye
Mlivyo na gubu,Mnajifariji tu,ukute hamjatongozwa siku nyingi mnabaki kujipa moyo tu.
Ahaàa alikuambia nilitaka ticket ya ndege?Heheheheh pole sana.
Kweli mkewe alimkimbia nakumbuka.
Hahahaha....ila jamani ana ahadi kama mgombea afu si ungesubiri uone kama atakupeleka ulaya shost.
Mie alisema ananipeleka Canada kwa matembezi.
Afu wewe una dhambi ujue, kwani Arusha lazima uende na ndege?
Ungeomba nauli ya basi tu bidada
Atajiju anaemtaka nani kwanza?[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu kibaya kama hicho kuelezea mahusiano yaliyo pita kasoro zake yeye angedili na wewe tu huyo ni mzee kweli au kivulana
Bahati njoo uchukue kwangu hapa, ila ukija njoo na nauli ya kurudia na hela yako ya kinywaji maana baadae usije nifungulia uzi hapa JF nimefeki life, I'm realBora mnaokutana, wengine naona tuna nuksi mtaani mpaka Jf!