Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Shida zako ndo zinakushusha CV Kwani ulikuja uku kutafuta wanaume? Chunga sana utachunwa ngozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
DaJane unapenda sana pesa, fuata nyuki ule asali. Inaonekana umekutana na wengi na kugongwa nao, nyeusi20 yawezekana Mumgu alimtumia kukwambia enough is enough!
Alafu una ushosti na demiss? Mi nahisi kama ndio wewe.
 
Hakuna asiye na pesa ila tunazidiana
Hakuna asiye na gari ni suala la muda tu.
Kila MTU ni unique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…