Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Nitakuja jumamosi babu nashukuru mm secretary wa Mkurugenzi salary yetu inatoka ijumaa hivyo shaka ondoa vyote hivyo utavipata
Sisi huku kijijini hatujambo, siku ukirudi usisahau kuniletea beteri za redio yangu na koti pia, maana lile ulilo lileta mwaka juzi tayari limechakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuja jumamosi babu nashukuru mm secretary wa Mkurugenzi salary yetu inatoka ijumaa hivyo shaka ondoa vyote hivyo utavipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bibi, nitakusubiria pale kwenye duka la akina Stive.....[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story zote za kutunga. Iweje wewe ukutane na wanaume woote hao uliowataja! Wengi tunapenda kumsintain privacy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwakutana wanaume kama hao jua awana akili na niwaume wa dar .kma kupendwa utapendwa jinsi ulivyoo Leo hii unadanganya mpka mtu akiitaji kukutana nawe unaogopa kwa jinsi ulivyomdanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kutana nawe ila sina pesa wala gari
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…