KhaaaaaEbu ongea nae vizuri aitikie lakini unataka kumnyima nini lakini kaka angu
HahahaSasa hiyo ID unanipa shoga angu au?
We tulia namjua wifi yanguNakuja
Vipiiiii mbona umemjibia lakiniSaaaana
Eti usiponiona unajitoa. Mscheeww.Hahhaa kurogwa tena kwann?
Mama weee. Nakutumia namba ya wakala sasa hivi yani.Nimekusubiri pm nina hela ya shamba la urisi [emoji1] [emoji1]
Mshipa nae ni habari ingineeYaan mahandsome siwapendi kabisa ila nataka nimjue tu
Mmh uliona kwakoHahaha
Shunie kuna siku niliona like yake bhana
Swali fikirishi hiloHahahaahahaaa. Huyo atakua hajui kazi yake au humpendi. Akunyonye tu halafu basi. Na yeye ulimsaidiaje sasa?
Hahaha nilijua tu kwa vyovyote hutakosena hapaEti usiponiona unajitoa. Mscheeww.
NdioMmh uliona kwako
Kwa nini tena jamanKhaaaaa
Ujue siku hizi umekua eeeh
Si namjua huyooooVipiiiii mbona umemjibia lakini
Naisubiri hio nambaMama weee. Nakutumia namba ya wakala sasa hivi yani.
Hongera zake ulimuona eenhMshipa nae ni habari inginee
MhSi namjua huyoooo
Mimi uhandsome nautoa wapi Shunie nipo nipo tuKwani we ni muhandsome
Ebu nitajieNdio