Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

haaa!
Itakuwa umenitumia jini mahbath
unanikumbusha rafiki yangu mmoja marehemu...
Alikuwa anaongea vitu vya mzaha mzaha kama utani ukifatilia sana kumbe kweli.
May her soul rest in peace!
Basi umepata mbadala wake nipo hapa,,na ile style ya kukata nyama naomba utoe style kama 6 kali kali naamin hutoniangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…