Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Ukiwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu sana jamaa alinifuata akaniambia kwa huruma kweli sisi wanaume nikajikuta ninatoa namba anakuja mwezi huo yuko marekani saidia kuunganisha ili hadithi iwe nzuri kama umetayarisha ya kufikirika tu
Sio lazima uamini,sitaki kukuaminisha
 
Huu nao ni upuuzi umetuandikia hapa
 
Una makusudi sana, wengine tulisubiria wakati wa KAZI.. kama ujuavyo mbiu ya [HASHTAG]#magufuli[/HASHTAG] kwa sasa TZ, kama sio [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG](kutiana) basi iwe [HASHTAG]#viwanda[/HASHTAG] (watoto)...anyway bahati yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…