Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Kausha mahondaw wangu...
 
Shkamoo
 
Sio yeye kabisa kaka wa watu hana makuu kabisa hataki kujulikana ,hataki misifa humu yuko vizuri haswa ,akija nikipindua sijuii ntakuwa namuachia nani vitu vizuri
 
Sio yeye kabisa kaka wa watu hana makuu kabisa hataki kujulikana ,hataki misifa humu yuko vizuri haswa ,akija nikipindua sijuii ntakuwa namuachia nani vitu vizuri
Bora asijulikane tu kwakweli tutakuibiaaa wee Shauri yako.

Najua dokta pesa ipoooo

Sijajua ileeeee kitu ingine Ile venye wanawake wa kileo ako tunapendaga

Make kwa body tu aaaaaaaaaaaaa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Cc Smart911
 
Yes ana body kali la kuvutia ndio maana nakuambia nikipindua ni bahati mniweke kwenye maombi
 
Eeeh! Akiibwa usije kulia home lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…