Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!



๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚dadii anajiheshimu sana mayb kwangu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š! ila aliwah sema anapenda teat langu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šhana sumu huyo..nakufurahia tu yaan..mimi nikinunua keki naamini n8taambiwa nimenunuliwa mm nimeileta hom๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ’ช๐Ÿ’”๐Ÿ™Š...asante mdada kwa credit
 
Kwa haya ulongea..nina uhakika HUJAOLEWA.

NA HUOLEWI KWA SABABU
[emoji117]Utabia za Uswazi
[emoji117]Mdomo mchafu sana
[emoji117]Mwembamba na HUNA KALIO
[emoji117]Mbaya wa sura na Umbo.
[emoji117]Umejawa na Shombo .




MWANAUME AHESHIMIKE NYAU WEE!!!.
 
Pumbavu kweli..! wewe nae kuna mtu atakuwa ameoa au anapanga akuoe aweke ndani kama mke, kweli wanaume tumeumbwa kwa mateso..!
Kajinga sana, kanajipa promo tuhisi ni bongeee la kisuuuu kumbe ni Manunga embe

Kuanzia ukucha mpaka sura huwezi pata cha kusifia
 
SIKU NYINGINE, JARIBU KUUNGANISHA AKILI YAKO KIDUCHU ULOPEWA NA MDOMI WAKO MPANA ...NDIO UONGEE !!!

wewe unann hasa chamaana mpaka Ufatwe PM ???
 

Hhahahahahaha usiniambie unamfahamu Dadii, umemjulia wapi....... hehehehhee vile alivyo chinichini hata huwa haonekani zaidi ya ku like na kupita kimya kimya hehehehhehe karibia majukwaa yote..

Ila hapo kwenye titi uko sahihi anapenda sana hayo makitu....

Dadii ni muafrika tena mtanzania halisi hivo sina wasiwasi kwa wadada kama wewe lazima ageuke akili isimame kidogo ndo tuendelee na maongezi. Eeeehhh ngoja ninyamaze nisije finywa na kung'atwa juu hehehehhehe

Furahia maisha mwaya, we live once but if we live wisely and smartly once is enough.
 
Huyo mwanamme kweli kakukuna yaani mpaka umekosa usingizi mkuu? Lazima umemuota sio bureee! Ila kuwa mtu mzima basi, usipopenda siunakausha? Kwani kakushikisha simu mpk unamjibu? Acha kujishaua kuwa nawe unatongozwa wewe. Na mtaani kwenu nako je? Nina mengi ila naishia hapa, unatia kinyaa sana
 
Aiseee, kumbe watu wanamaafuriko kwenye piemu zao[emoji849]

Eniwei pole shoo kuna option mbili kufunga PM yako au kuignore hizo PM's usizotaka kujibu. GM
That's all, sio kutuletea ushenzi hapa.Huu ni utoto wa sekondari kujisifia kuwa fulani kanitaka shubhamiit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ