Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Ungeniambia Mimi €900 ningekupa lakini ukanipiga cha mbavu nikashindwa hata kuinuka!

Hhahahahahah double R hauko sirias ujue, unajua hivi tunavyoongea mama Nanayakara, mama Batalingaya na bro Ndosi wanakusikia jinsi unavojikwepesha.....

Halafu kwani sanvita, mabungo na maembe ng'ong'o ni aghali kuzidi Euro mia tisa eeehhh...

Unaona sasa mwenyewe unavojipiga cha mbavu.....

Ila ile siku nilicheka sana uliponiuliza.... like huyu ni mimi niliyesema haya aahahahahahahahhahaahahhahaha I love those moments aiseeeh. Sijui ndo ukashikwa na mfadhaiko..... ukakimbia mazimaaaaa

Ila RR weweeee..... ngoja tuu sijakuamulia tuu nakusubiri uendelee kujivutavuta aahahahahahhahaaa

K' Matata.
 
duu hili povu la mwendo kasi,

hivi una undugu na mange kimambi?????

All in all maneno yako hayototukata tutaendelea kukesha na pm zenu
sa jamani nyie sie wenzi wetu au mnataka tukawaombe mbuzi???

naomba mtuvumilie tu sie wengine ni wakurya hatunaga soft approach ni mpelampela tu hadi kieleweke
 




Sasa huyo unahangaika nae wanini hajitambui muweke kwenye ignore hana adabu.
 
Mmh nadhani ujumbe umewafikia!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi hoi.
 
Dah!!, Mwanamke Una Gubu Wewe Sijawahi Kuona.
 
na umetoa povu !
nasikia huko pm usipokua makini unaweza ukabeba mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...SAWA TUMEKUSKIA






sent by my TECNO NYEUSI20 using jamiiforums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…