Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Watakuponda, watakutukana, watakunyanyasa kijinsia, watakurushia kila aina ya silaha lakini umewapa ukweli hahahaha na ukweli siku zote UNAUMAAAAA tena UNACHOMAAAAA kama Jua la jangwani.

Kwa kuongezea, wabongo wengi hawajui kuanzisha na kunogesha mazungumzo ndio maana utakuta mtu anatoa Hi, Hello, Mambo, Mzima, NIPE STORY (hili neno hua linanikera sana) na unakuta mtu badala mpige story anakuinterview(Maswali yanakua bandika bandua) wakati swali moja tu linaweza kuibua mazungumzo ya siku nzima.

Lol, poleni wanaume wa jf maana sio kwa kichambo hiki, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Euro 900!! Is this your price tag wa kunyumba/mwana nzengo mwenzagu?
 
nimeshindwa kabisa kujua jinsia ya kike humu ndani kutokana na majina yanayotumika. sasa hao wanaume wenzangu wanawafahamuje mabinti huku ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…