Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Anachafua watu kwani amekutaja jina kaka mkubwa au ndio ile ya jiwe gizani ukisikia "yalaaaaaah" basi limegonga utosi.... lol[emoji23]
Kuna baadhi ya wanawake wakiandika unaweza ukachukulia serious, lakini siyo huyu, ukitaka kujua angalia threads zake nyingine. Hana tofauti na kisandu junior. Ujinga ujinga tu.

By the way, mimi sinaga time ya kufuata mwanamke PM.
 
Karibu PM tupange mipango ya Christmas na mwaka mpya 2019.
 
Kuna baadhi ya wanawake wakiandika unaweza ukachukulia serious, lakini siyo huyu, ukitaka kujua angalia threads zake nyingine. Hana tofauti na kisandu junior. Ujinga ujinga tu.

By the way, mimi sinaga time ya kufuata mwanamke PM.
Na hicho ndio nilichojua, hua anaandika kujifurahisha na kufurahisha hadhira hasa kwa misemo yake adimu kabisa, lakini nikaona wengi mmepanic mpaka kutamani kua Mod ili kumpiga ban ya mwaka, hahahaha
 
Aiseee, kumbe watu wanamaafuriko kwenye piemu zao[emoji849]

Eniwei pole shoo kuna option mbili kufunga PM yako au kuignore hizo PM's usizotaka kujibu. GM
That's the only option otherwise Kama anataka aonekane na yeye PM yake ina mafuriko wakati hakuna
 
Wanawake Wabaya Bwana.. waeza kuta wazuri hawana hata tatizo..
 
Very true though it's very hard to fine one these days. It's like finding a virgin prostitute! or finging a Penguin in the desert!

Then you should change your price tag... cause it's nearly to impossible.
 
Halafu hii tabia mtu ana azisha uzi/Mada kisha ana toweka sipendii ukuje huku DaJane utwambie nani ana kusumbua pm kwa hali hii ya JIWE
 
Hii ni Hat trick[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…