Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Nikija nikakukuta uchi si nakukula... Sina dada jf.... Tusipangiane
 
Am sure hii post umeandika more than one hour.... Ni vizuri pia kutoa nyongo inasaidia mwili usidhurike
 
Mie kinacho ni chosha pm huwa ni I'd mpya za mtongozo had unajiuliza mbona huyu ka namjua Ila new id's
 
Ukiona wanazidi wataje, vinginevyo itakuwa kama wanasiasa waliowahi kusema wanafahamu watu walioficha fedha nje ya nchi bila kuwataja.
 
Mie kinacho ni chosha pm huwa ni I'd mpya za mtongozo had unajiuliza mbona huyu ka namjua Ila new id's
Mimi ninacho jiuliza hivi mtu kwa nini ujibu pm hali ya kuwa utaki mazoea na mtu, unapo mjibu mtu pm kubali tu hali yoyote ile maana kila kiumbe ana tabia zake na malezi yake.
 
Kumjibu mtu salamu ni jambo jema Ila isiwe usumbufu. Wengine akikutongoza na I'd moja ukiwa busy anakuja na I'd zake nyingine loh
Mimi ninacho jiuliza hivi mtu kwa nini ujibu pm hali ya kuwa utaki mazoea na mtu, unapo mjibu mtu pm kubali tu hali yoyote ile maana kila kiumbe ana tabia zake na malezi yake.
 
Ni mwanamke yupi anachukia kutongozwa??
Na anyooshe mkono tumuone......!!
 
Kumjibu mtu salamu ni jambo jema Ila isiwe usumbufu. Wengine akikutongoza na I'd moja ukiwa busy anakuja na I'd zake nyingine loh
Wewe Weka kanuni hii mamy usijibu pm ya mtu aje kwa salamu au usiku mwema, aje kwa I'd mpya au ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…