Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo wanaujua kutongoza jamani, mpk unajiuliza alikuwa wapi asinitongoze tangu January
Utandawazi hasa hizi simu zimechangia sana hili tatizo la kutojua kutongoza......na nyie wanawake mnapenda zongozo rahisi rahisi hasa pale pesa inapotumika
 
Unaweza kuta mleta mada ni me maana humu jf vituko haviishi.

tremendous alichokisèma@da jane ni kweli tupu..kuna wanaume wanakera hawakauki pm...mimi ninaye hakaukagi pm alafu pumba tu salam had usk mkali..oh nakuona tu online oh nakufatilia nacomments zako ananichefua balaa..sijui nisicomment?..amesema kweli tupu bwana we!
 
Unamjibu?
 
Dah..maskini wanaume wa Dar wanasimangwa.!!!
 
Daaaaadek!! Pesa kwanza mapenzi kafie kule.........sasa hapo unakuwa umetongoza au umenunua penzi fake?
Ndomana mitoto haijui kutongoza na hii ni kwa sababu haina pesa.
Ndo utu uzima huo. Sa unataka namba tuchat WhatsApp kwani si hata pm tunachat?
Ukiomba namba ukipewa msg ya Kwanza ije na tarakimu 6
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…beef nakupendagaπŸ˜…πŸ˜…eti ww huwa nakufananisha sana na huyu da jane jaman nakunywa soda hapa had machoz yanatoka khaa
Asante kwa maupendo 😍😍😍😍 ila
huyu kanizidi kipaji cha kuchamba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wallahi
 
Daaaaadek!! Pesa kwanza mapenzi kafie kule.........sasa hapo unakuwa umetongoza au umenunua penzi fake?
Ndomana mitoto haijui kutongoza na hii ni kwa sababu haina pesa.
Kama umetongoza fake ID, unashangaaje kununua penzi fake?
Fekero everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…