Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Sasa tutawapataje nyie maua yetu? au hadi mtutongoze wenyewe
Jifunzeni kutongoza la sivyo mtaendelea kupata vichambo Kama hivi kutoka kwa Da Jane.
Kuna mwenzenu kasema eti tunamtongoza Sana, pm yake imejaa wadada wanamtongoza. Mzushi sana huyo jamaa.
 
Sina sababu ya kujifunza kutongoza kwa maneno badala yake wacha nisake mahela mtajikoki wenyewe tu.
.
.
Inaweza kuwa kweli mnamsobokea mchizi,hilo linawezekana kabisa.
Jifunzeni kutongoza la sivyo mtaendelea kupata vichambo Kama hivi kutoka kwa Da Jane.
Kuna mwenzenu kasema eti tunamtongoza Sana, pm yake imejaa wadada wanamtongoza. Mzushi sana huyo jamaa.
 
Mleta mada pole..ila unaweza ignore hizo sms au funga pm kabisa
 
Wanaume sometimes tunajidhalilisha sana Mkuu,unakuta jitu lishakomaa bby bby sijui nini,wanawake wenyewe ndio sample hiyo hapo juu,na sometimes ukute ni janaume tu linawachora,bahati nasibu hadi kwenye mapenzi!!..
Ha ha ha ha,wazee wa Pm poleni
 
😅😅😅hongera kwa maandalizi ya valentine aisee...kweli dunia haipo fair..

Kiukweli namshukuru maulana.

Halafu nimekuona, kama huyo kwa avatar ndo wewe, acha mwanaume wa manengelo awe na wivu wa milenia hehehehehee.

Paja limekaa kwake, mkono umetoshea mguu umetulia japo umejificha kwa chini, shepu inafikirika japo umekaa.

Uko vizuri msukuma weyee, napendaga mapaja yenye rangi angavu hivo yaani sio jeupe sio jeusi wala brown... katikati hapo.

Akiiona Dadii hii lazima akusemeshe hehehehehhehee najua tuu hata PM atakuja.

Cheers mamii, kwa muonekano huo tuu uko mcute, keep yourself young mamii.

K' Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…