Wanaume wa JF ni kweli huu ujumbe wa huyu dada?

style iwe kifo cha mende dog au nyingine yeyote ile cha muhimu ni kumuwezesha mwanamke afike kileleni na kuinjoy tendo. hata kama huyo mumeo atakupa style tofauti je yeye akiwa kima kuku utainjoy?(namaanisha sekunde mbili kakojoa )

utamu ni wote mridhika kama style ya mende,dog ......... itakufikisha kileleni tumia hiyo. Angaliuzo kuna wanawake wavivu sana hawawezi kunyumbulika kwa style yeyote ile zaidi ya kifo cha mende

ukimkuta mweanamke anasema mumewe anajua style moja tu basi huyo ni wakuchekwa kwani inaonekana hajafuzu unyago mwanamke kwakushirikiana na mumeo au mpenzi wako lazima uwe mbunifu na mshirikiane wote mwanamme anaweza kucheza style yeyote ile ila mwanamke wakati mwingine hayuko comfortable na aina nyingine za style. kama unavyojua maumbo ya kibantu kunawengine maumbo yao nivigumu kufanya style fulani kwani analalamika anaumia
 
kuna utata mkubwa sana wa jinsia yako Lutala nimejaribu kuchakachua comment yako naona haichakachuliki sijui labda unajiongelea mwenyewe zaidi
 
kuna utata mkubwa sana wa jinsia yako Lutala nimejaribu kuchakachua comment yako naona haichakachuliki sijui labda unajiongelea mwenyewe zaidi

Umeoooona eeeee. Hata mimi niliingiwa na wasi ndio maana hapo juu nikamuuliza she/he?
 
Dada Caren huu ufundi wa chumbani haufundishiki unakuja automatically mambo ya styles yanakuja huko huko mbele kwa mbele mkiwa kwenye tendo.
 
caren kwa hio wewe unajua kutiana kuliko wanawake wote hapo ilala, wajuzi hawasemi bishosti huwa unamwona mumeo anachelewa kurudi na akirudi yuko hoi ujue washamkamua kunako
 

nimecheka mbaya duu, genda ugaruke utakuwa wa nyumbni wewe
 
Nimeshtuka hapa nikaona niianzishie thread maanake hizi tuhuma ni nzito sana kwa Wanaume wa TZ popote walipo. Sijui Caren hii research kafanya na wangapi........



aaaaaaaaaaaaaaah nguli, hebu rudisha avatar yako kwanza ndo tuendelee, mie inanichengua ile mbaya. Kijana wa kiafrica wa ukweli
 
kwa sasa ili uweze kuboresha upendo wako home kwako au kwa umpendae lazima mridhishane kimapenzi... so nothing gona happen without knowing style......... na sisi tusiojua kumbe tutakuwa tunaachwa daily? hah ni balaaa lol!!
:becky:
 

Pa1 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…