Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

GamahaMazda st: 16485246 said:
Hawa ndio wanawake wa mitandaoni hata ukimsalimia tu lazima akuombe hela. yaaani wenyewe ni hela hela hela hamna kingine.
Hivi umeelewa mada kweli?
 
Soma mada vizuri. Hapa nazungumzia wanaume wa JF. Mtu anataka tuonane halafu gharama ya mafuta juu yangu
 
Hawa ndio wanawake wa mitandaoni hata ukimsalimia tu lazima akuombe hela. yaaani wenyewe ni hela hela hela hamna kingine.
Mwanamke wa mtandaoni? Mi nafanya kazi ofisi nzuri tu hapa town. Halafu nina mradi wa salon unaniingizia hela nzuri tu. Na sijafika hata miaka 27
 
Huo mzinga hata kama ni mimi natoka nduki, wakati unanunua hiyo Alteza ulijua inatumia maji???
 
Unamiliki Alteza halafu huna hela ya mafuta?[emoji16][emoji16]
Wanawake bhana kosa usimsifie
 
Aah!!! Altezaaaa ulinunua Alteza ukiwa huna hela ya mafuta??? Uza Alteza ununue mafuta!!!
Point ya msingi ni mtu kunitaka nimfuate kwa gharama zangu. Whether it is by Altezza or on a public transport. Jifunze kuelewa msingi wa mada. Itakusaidia sana maishani
 
Humu JF dada si mahala pake, kama ni papuchi yako peleka kule kwani si unajua magulio yenu.
Humu tuna discuss masuala nyeti ya Mustakabali wa Maisha, pamoja na Taifa letu lilokosa Dira.
Au tuna jadili masuala ya Msingi na yenye Tija na siyo biashara ya viungo vya mwili hasa papuchi isiyo na soko zaidi siku hizi ni nyongeza tu kwa wengine..useless....STOP IT PSE and very sorry to give u white coz I never like black at all+STUPIDITY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…