Kama wewe ni Mwanaume utakuwa maskini sana, wa akili na kipato
Dogo mbona huna adabu?! Kwanini umefanya kitu cha kishamba kama hiki!! Hata kama ni watoaji we inakuuma au ni nini kimekuwasha?!Hakuna wanaume watoaji mapesa na wapenda sifa kama wanazo kama wahumu jf
Ukilia kidogo tu mapesa ntawataja kwa majina hapa tukianza na babu yetu mzee mwenye utoaji wa hali ya juu Asprin na mzee mshan jr
Ukilia tu imethibitishwa ila tahadhari ndoa za watu humu wengine wanandoa
Sent using Jamii Forums mobile app
NakusalimiaNaam?
I dont trust u coz u r different from the rest.Hakuna wanaume watoaji mapesa na wapenda sifa kama wanazo kama wahumu jf
Ukilia kidogo tu mapesa ntawataja kwa majina hapa tukianza na babu yetu mzee mwenye utoaji wa hali ya juu Asprin na mzee mshan jr
Ukilia tu imethibitishwa ila tahadhari ndoa za watu humu wengine wanandoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghafirulilah... yaani hata wewe? Dah!Babu Asprin hela yake anavyoichungulia unasema anachunika? Babu pesa yake imeshikana na roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Niku forwardie moja ?
Ahsante kwa salamu. Tafadhali kuwa mbali na Corona. Isije kutusimamisha kutimiza ile ndoto yetuNakusalimia
Dah... Aisee! Yani umeamua kabisa kuniharibia mipango yangu.Hakuna wanaume watoaji mapesa na wapenda sifa kama wanazo kama wahumu jf
Ukilia kidogo tu mapesa ntawataja kwa majina hapa tukianza na babu yetu mzee mwenye utoaji wa hali ya juu Asprin na mzee mshan jr
Ukilia tu imethibitishwa ila tahadhari ndoa za watu humu wengine wanandoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Najitahidi kujilinda babu ila sina vikingio vile wanasema tuwe navyo.Ahsante kwa salamu. Tafadhali kuwa mbali na Corona. Isije kutusimamisha kutimiza ile ndoto yetu