Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
 
Kuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda wowote.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Tena wanaolea watoto wasio wao kwa kudhani ni watoto wao ni wengi,lakini hilo hawalifikirii daily wanazungumzia kuhusu single mothers tu,wanaboa sana!
 
Pole mkuu,
Mungu atakujaalia na utajifungua salama tu, kisha maisha yataendelea na utasahahu kila gumu ulilo lipitia.
 
Na upande wa wanaume je?
 
Inaonekana ulishapitia apo si kwa maelezo ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…