Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaComments ziwe fupi.
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga kweli."Wadada fungeni pm zenu ili magari ya mishahara tubaki nayo wenyewe"
Atoto nimecheka hapa nilipo yaani mpaka najishangaa kwa hiyo tuseme ni msongo wa mawazo 😃😃😃😃😃Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta. Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
Mi nataka kujua yale maneno mliyopewa na nyoka pale mtini ni yapi [emoji12]Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Wapunguze kutangaza shida za kijinga, mara ohh naomba ninulie mihogo, si upande bustani ya mihogo uwe unavuna tu. Tangaza shida yenye maslahi mapana na maisha yako sio ujinga ujinga.
MadusheDemiss ni nini haswa unatutafuta lakini?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] sumbai bhana, niko naendelea kusoma hizo dukuduku zenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]"Wadada fungeni pm zenu ili magari ya mishahara tubaki nayo wenyewe"
Mkuu naomba IST tu, nina imani hii ni shida yenye maslah mapana[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wapunguze kutangaza shida za kijinga, mara ohh naomba ninulie mihogo, si upande bustani ya mihogo uwe unavuna tu. Tangaza shida yenye maslahi mapana na maisha yako sio ujinga ujinga.