Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!

Khan!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atoto nimecheka hapa nilipo yaani mpaka najishangaa kwa hiyo tuseme ni msongo wa mawazo 😃😃😃😃😃
 
Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!

Khan!
 
Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"


Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
Mi nataka kujua yale maneno mliyopewa na nyoka pale mtini ni yapi [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…