Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
| W | A | W | E | |
| W | A | S | A | F |
Hizi location unazotoaga mbona kila nikikufwatilia holla??Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Tatizo lenu mnachagua sana, mpaka mnaokota mawe badala ya dhahabu
Alafu ulitaype wewe then umejijibu.. dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga kweli.
Duku duku langu ni hilo mkuu. Walifanyie kazi[emoji13] [emoji13] [emoji13] sumbai bhana, niko naendelea kusoma hizo dukuduku zenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijaona uhusiano wowote kati ya uzi wangu huo na nilichokoment!Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta. Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzoefu bro!Dah [emoji2] umejuaje mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu mkuu, udenda unatiririka hapa kama maji ya bwawa la stigilasi joji
hahahaa noma mkuu, siku hizi jf sitongozi mwanamke kabisaa!Mimi naweza kuwa shuhuda mzuri wa hili.
WAOGEE KWA KUTUMIA STILIWAYA
W A W E W A S A F
HahahaaTutajirekebisha, hilo kimeisha filter tutaziongeza.
Yah hili nalo neno, ila basi muwashawishi na humu waje jamani!Hahahaha tatizo kama hujaenda shule huwez tumia jf wadada wazur wengi wanajua Facebook tu
Huyu nae vp[emoji3][emoji3][emoji3]Nan ateseke kwa ujinga huo,Pita hivi[emoji117]
Nini maana ya asilimia kubwa? hao wazuri ambao wewe unawafahamu ni asilimia chache, ila asilimia Kubwa ni Wabaya haswa, siku hizi wadada wa JF siwatongozi maana humu jukwaani atakuwa bonge la mjanja na uta imagine kuwa ni mzuri kinoma ila kutana naye sasa utakimbia!Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
Nitapita siku mkuuPako poa sana kuliko hata Pestana.
Tutafutane aisee..Uchaguzi ni muhimu