Wanaume wa Jf walivyo!...

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguafe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao


Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hivi yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
 
Basi hukusubiri hata kukacha mtu akutibue umeanzisha uzi.
Ww kiboko si tumekubaliana mpaka Valentine day ukitibuliwa ndo na sisi wanaume unakuja kutunanga?
Mbona hauna ahadi za kweli?
 
Basi hukusubiri hata kukacha mtu akutibue umeanzisha uzi.
Ww kiboko si tumekubaliana mpaka Valentine day ukitibuliwa ndo na sisi wanaume unakuja kutunanga?
Mbona hauna ahadi za kweli?
Mmezidii nyie mnatisha kweli,kiukweli wanawake tuna roho za uvumilivu kweli ,,nimeona kesho mbalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…