Wanaume wa Jf walivyo!...

Ungetuambia vema yaliyokukuta. Baada ya kupata apointment na jamaa.
 
Dah...ngoja uje upate muhogo uliokomaa vizuri...uuonje....kesho Yake uje na Uzi wa kulialia kuwa umepoteza muda wa maisha yako kwenye visoseji[emoji13] [emoji87]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee leo umenikumbushaaa mbali ukikutana na mwanaume yuko tofaut na comment zakee lazima utoke nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]unaacha vumbiii
 
Hahahaaa!!
Kama nakuona unavyokaribia H.Bolt kwa mbio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…