Umeshaniona? Hata nikiwa sina nguo ( uchi) utanitaka tu. Happy Wednesday Ashes. Happy Valentine dayBeee kaka upo picha ya kwanza au ya pili?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Wangapi umeshawakimbia humu?Mmezidii nyie mnatisha kweli,kiukweli wanawake tuna roho za uvumilivu kweli ,,nimeona kesho mbalii
Beee kaka upo picha ya kwanza au ya pili?
Mmezidii nyie mnatisha kweli,kiukweli wanawake tuna roho za uvumilivu kweli ,,nimeona kesho mbalii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nshafutaaaa... Duu kaka ulikaa standby nini!!??Haaaah. Haaaah. Haaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Haaah. Haaaah. Haaaah!
Hata mimi nimeiona😉[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nshafutaaaa... Duu kaka ulikaa standby nini!!??
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85]Hata mimi nimeiona😉
Wewe utakuwa msweet sweet bhanaKwa jini nilivyo, Mama Sabrina atakuwa anasema kweli! Na fanana na mbabe wa Bulaya!
Ahsante. Yaani wakati nakusoma hapa kuna kiungo changu kimejiactivate toka sleep mode!Wewe utakuwa msweet sweet bhana
Ndio ila ungeivua ile uliyovaa tukuone vizuri[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndio ila ungeivua ile uliyovaa tukuone vizuri