Hahahaaa. Kabisaaaaa.Kikubwa siri za serikali zisivuje tuwe wazalendo hadi dakika ya mwisho[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuwafanya waacheUnataka kuwafanyaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wapo walioleta malalamiko kua umewapunja hujawaweka wapo walioshukuru na wapo pia waliokata rufaa!Ray niliandika uzi naenda kupika narud nakuta page ya 50 naomba muhtasari wa comment tafadhali
Mbona mimi sipo... au mimi ni pugi?Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
Mimi nitakataa rufaa,huu ni upendeleo wa wazi kabisa![emoji23] [emoji23] [emoji23] wapo walioleta malalamiko kua umewapunja hujawaweka wapo walioshukuru na wapo pia waliokata rufaa!
Nenda kwa jaji asprinMimi nitakataa rufaa,huu ni upendeleo wa wazi kabisa!
Kama avatar ina mapengo..we mwenyewe ukoje!Mbona sioni dalili yeyote ya kupendwa na mdada wa humu....[emoji30][emoji30][emoji30]
Kama avatar ina mapengo..we mwenyewe ukoje!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu vuta subra,, utajipigia tu mtoto mkaleeeeee[emoji1]
Nikugaie mmoja? Taja sifa uzitakazo....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama avatar ina mapengo..we mwenyewe ukoje!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama avatar ina mapengo..we mwenyewe ukoje!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ni uonevu wa kiwango cha PhD, nimeamua kubadilisha avatar kuanzia leo...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama avatar ina mapengo..we mwenyewe ukoje!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] badili avatar siipendi naona kama chizi Fulani hv[emoji23] halafu mapengo mabayaaaHuu ni uonevu wa kiwango cha PhD, nimeamua kubadilisha avatar kuanzia leo...[emoji30][emoji30][emoji30]
Kweli tena [emoji3][emoji3][emoji3]avatar gani hyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] huoni zenu zilivyo nzuri hata miandiko inaa akisi yaliyomo yamo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]