Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] badili avatar siipendi naona kama chizi Fulani hv[emoji23] halafu mapengo mabayaaa
Na nisivyopenda madevuuu kaaah!(mbebs anajua hili)

Yaani masharubu hapana!!
Masharubu yana raha yake...mda wakupiga deki yanakua nanakuchoma choma kwa chini[emoji23] [emoji23] [emoji23] , jaribuu ulete mrejesho
 
Kweli tena [emoji3][emoji3][emoji3]avatar gani hyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] huoni zenu zilivyo nzuri hata miandiko inaa akisi yaliyomo yamo!
hahaha wewe avatar yako inanipa mawazo sana,nawaza hapa ukinipiga mchumu wa lips to lips hapo si na mimi naonekana nimepaka lipstick?[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] badili avatar siipendi naona kama chizi Fulani hv[emoji23] halafu mapengo mabayaaa
Na nisivyopenda madevuuu kaaah!(mbebs anajua hili)

Yaani masharubu hapana!!
Mkuu, naomba niamini kwamba umewawakikisha wengi humu jf.
Na leo ninegundua kwamba kwanini huwa sijibiwi PM za kuzoza wadada wa humu jf wallah....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Asante Raynavero kwa kunifungua mengi yenye nilikua sitajui, then nikue na avatar kama ya Daby na Mwifwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuambia sasa!fanyia kazi mawazo yangu!

Tafuta avatar moja kaliiiiii!!!!tupia hapo!cheza na PM[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuambia sasa!fanyia kazi mawazo yangu!

Tafuta avatar moja kaliiiiii!!!!tupia hapo!cheza na PM[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikweli mkuu, unaonekana unamawazo mema sana ya kutaka nami nimiliki vyombo matata humu kama babu @Aspirin
Ebu fanya basi ukuje PM unifundishe vile wanabadilisha avatar....[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Nikweli mkuu, unaonekana unamawazo mema sana ya kutaka nami nimiliki vyombo matata humu kama babu @Aspirin
Ebu fanya basi ukuje PM unifundishe vile wanabadilisha avatar....[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo La kubadili avatar ngoja nkufundishe hapa hapa!nenda kwenye avatar hapo hapo utapata maelekezo

Pm naogopa!masharafa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duhhh....
Hapa nitaaibika na uzee huu, ebu fanya ukuje Pale Mwembeni (PM).....[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…