Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Zile za mkupuo zote, totoz za mjini zimeshapiga; kabakiza 37,500/= za kila mwezi za kuchukulia dirishani manake hata kutumia ATM hawezi!!
Alafu hadithi za babu Asprini

Mimi nilikuwa nafanya kazi ikulu na makongoro nyerere alikuwa anavaa jeans kazini
 
Alafu hadithi za babu Asprini

Mimi nilikuwa nafanya kazi ikulu na makongoro nyerere alikuwa anavaa jeans kazini
Labda kama alikuwa anafanya kazi Ikulu ya Butiama lakini pale Magogoni; atafanya kupaona kwa mbali tu wakati anaenda Ocean Road Hospital... si unajua kwa umri wake, yeye na tezi na dume ni kama chips na mayai!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…