.Kakangu Asprin, naongea kwa uchungu na hivyo nisingependa tuwe tunaongea behind your back; in short, hii post niliyom-quote Demiss ni kwamba alikuwa anakuzungumzia wewe!
Ndugu yangu Mshana Jr; amini usiamini; yaani nimeumia ile mbaya!! Hebu njoo umsome my sweet wako huku!! How did huyu Demiss alifahamu hizi deep inside info za Asprin ambazo it's obvious zipo deep inside the origin!!
Sa' kama hapo Asprin ndo ana-confirm kwamba hizo sifa kapatia kwa 100%, c ndo inakuwa asifiae mvua!!
Shenzi taipu! Hakuna namna hivi sasa... Mkuu Malcom Lumumba, nimeanzisha Chama Cha Wapiga Fitina JF!!
Members ni wale wote tusiopendwa na totoz za JF na lengo kuu la chama ni kufitinisha wapendanao!
Haiwezekani bhana; kama bundle, wote tunatumia bundle hapa; ebo!
We msingizie tu. Najua unataka kujifanya msafi mbele ya mchawi wakoHizo siri mm nimepewa na mchepuko wako uliyemsaliti alikuja msata kilingeni kulogaaa
Nimesubscribe kabisa Uanachama.....Kakangu Asprin, naongea kwa uchungu na hivyo nisingependa tuwe tunaongea behind your back; in short, hii post niliyom-quote Demiss ni kwamba alikuwa anakuzungumzia wewe!
Ndugu yangu Mshana Jr; amini usiamini; yaani nimeumia ile mbaya!! Hebu njoo umsome my sweet wako huku!! How did huyu Demiss alifahamu hizi deep inside info za Asprin ambazo it's obvious zipo deep inside the origin!!
Sa' kama hapo Asprin ndo ana-confirm kwamba hizo sifa kapatia kwa 100%, c ndo inakuwa asifiae mvua!!
Shenzi taipu! Hakuna namna hivi sasa... Mkuu Malcom Lumumba, nimeanzisha Chama Cha Wapiga Fitina JF!!
Members ni wale wote tusiopendwa na totoz za JF na lengo kuu la chama ni kufitinisha wapendanao!
Haiwezekani bhana; kama bundle, wote tunatumia bundle hapa; ebo!
Bwhahahahahhaahaahha!
Tena lenye kilema[emoji35] [emoji379] [emoji84] [emoji84] [emoji83]Muongezee busha tendegu
Mimi tena ????Na wewe kaka shemeji?
aiisee! ok sawaKiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
Hili jina?Sijawahi kujuta maana hapa JF nikama nimeitengeneza mwenyewe hao woteni wanafunzi wangu uliza hili jina.
Hahahaa!! Babu kwavile wewe unazo totoz hapa, sio mbaya ukawa mwanachama wa heshima wa Chama La Wapiga Fitina JF; manake sio kwa fitina hizi!!Kwanini unapenda kutoa siri zangu? Kwani ungekaa kimya ungepoteza nini? Poa tu lakini... ntapata mwingine
Tafadhali kaa mbali na binamu yangu!!Raynavero hapo juu kwanini unaLIKE kimoyomoyo posts zinazonikandya?