Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Hahahaa!! Babu kwavile wewe unazo totoz hapa, sio mbaya ukawa mwanachama wa heshima wa Chama La Wapiga Fitina JF; manake sio kwa fitina hizi!!
Ana fitina huyu babu
 
Patna hapa JF sina, labda unisaidie kutafuta....
Bado nyota yangu haijang'ara kama Mwifwa , mimi na chige hatujapishana
Mbn kwa ukubwa wa Id yako naimani huko Pm wanapigana tu vikumbooo

chige huyu nasikia anakulaga kimya kimyaa hahahhaha maaana siyo kwa paragraph hizoo akizamaa pm lazima totoz ziingie king
 
Mbn kwa ukubwa wa Id yako naimani huko Pm wanapigana tu vikumbooo

chige huyu nasikia anakulaga kimya kimyaa hahahhaha maaana siyo kwa paragraph hizoo akizamaa pm lazima totoz ziingie king

Bwahahaha,
Unataka kusema chige ni mafioso wa chinichini ???
Enhee hebu niambie zaidi bwana hizi habari njemaaa
 
Ndugu yangu Malcom Lumumba, yaani unataka kuanza kunitenga kwa ajili ya utu tufitina tudogotudogo kutoka kwa Demiss?! Umeahidiwa nini hadi unashindwa kuona kwamba tufitina twote hutu ni kv nimeahidi kuanzisha chama la wapiga fitina dhidi yao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…