Ni m(wa)kaka)/m(wa)baba gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura (ya kiume lakini. . .FORGET about pretty boys) na mwili unaoeleweka badala ya lijitambi lisilobebeka hata kwa toroli?
Kwa mimi. . . Lawyer klorokwini niliwahi kudhani analipa ila kuja kutahamaki. . . ni mmoja wa vibabu vya humu alafu kitambi tangu utotoni mpaka leo anabeba. Kwahiyo siku hizi naogopa 'kudhani'. . . sitaki kubaki mdomo wazi siku nikukubali kidate kwa PM.
Kwavile umeniweka mwanzo basi nimechukulia kwamba hao wengine wote ni sabustitushen tu, kama sipo ndio wanacover. Acha nipige mapush up kujiandaa na gem lakoklorokwini, EMT, Nyani Ngabu, Invisible, TIMING, Mbu, Fang, Cookie, The Boss, gfsonwin, fazaa, Mtambuzi, Bishanga, Mzee Mwanakijiji
The above list is the ones I consider hot and fantasize about. teh teh teh
klorokwini, EMT, Nyani Ngabu, Invisible, TIMING, Mbu, Fang, Cookie, The Boss, gfsonwin, fazaa, Mtambuzi, Bishanga, Mzee Mwanakijiji
The above list is the ones I consider hot and fantasize about. teh teh teh
heheh Ndo vizuri wakati tangia umeweka hii sredi sjapokea hata PM moja na si kawaida yangu . Ushaninyonga lizzyHahahaha. . .Kloro bana ndo vizuri sasa hivi vidada vikijigonga kwako ujue vinakupenda kweli na sio vinakufananisha na kina naniiii!!
Kwavile umeniweka mwanzo basi nimechukulia kwamba hao wengine wote ni sabustitushen tu, kama sipo ndio wanacover. Acha nipige mapush up kujiandaa na gem lako
Hahahaha. . .nakuunga mkono kwa baadhi yao aisee ila Cookie nadhani ni mdada (unless your into woman to woman action) basi tafuta wakumreplace.
Uwwwwww alafu umemtaja anaemdatisha Mwali . . . .na fulani pia!!
sasa ivi ndo nimepata pm moja, kuna kibibi kimeniuliza nimeombaje ombaje pensheni yangu. Dah!Hehehehe. . .wanajipanga bana. . we unadhani kuita kibabu 'BABY BOY' hakuhitaji utaalamu ehhh?!
Tena leo nimenunua web cam jipya la 3D, utanikomajeteh teh teh. Hio intelligence, no wonder ni jei efu loya. Ukimaliza tize nishtue nifungue web cam.
klorokwini, EMT, Nyani Ngabu, Invisible, TIMING, Mbu, Fang, Cookie, The Boss, gfsonwin, fazaa, Mtambuzi, Bishanga, Mzee Mwanakijiji
The above list is the ones I consider hot and fantasize about. teh teh teh
Tena leo nimenunua web cam jipya la 3D, utanikomaje
Ndo sasa uniambie. . .do you like girls aswell!?!!!Cookie ni mdada? mbona sasa nikiona post yake mwili wote unasisimuka? Kaaaah.
Niambie wa Mwali nihesabu toka wa ngapi katika orodha? au nipe hints, nisije geuzwa kibudu! teh teh