Wanaume wa Kabila la Bubal

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629

Wanaume Wengi wa Kabila la Bubal Linalopatikana Somalia Wana Mabusha (Kutuna kwa Korodani). Inaelezwa Kuwa Hali Hio Huwatokea Kutokana na Imani Yao ya Kulamba Damu Mbichi ya Hedhi ya Ng'ombe. Hii Pia Imepelekea Wanaume Kushindwa Kumridhisha Mwanamke na Hata Kumpa Ujauzito.

Ng'ombe hawana mzunguko wa hedhi lakini wana mzunguko wa joto. Wanaweza kutokwa na damu ya hedhi wakati wa mzunguko huu wa joto (estrus) ambao hutokea kwa wastani wa kila baada ya siku 21 (kipindi ambacho mnyama anapata hamu ya tendo).
 
Bado wale wa kupaka vumbi la kongo, huenda wao wakapata tezi dume qudadadeqi....🤣
 
Kuna mmoja hapo ni kama naona ka kalia kabisa busha lake wala hata hawazi.. afu seems hawawazi kabisa ni kama wanaona fahari kua hivyo..
 
Kwani report za miaka hii zinasemaje kuhusu wao, naona hii picha ya kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…