Wanaume wa kabila lipi wanaongoza kwa kuhonga Tz

Wanaume wa kabila lipi wanaongoza kwa kuhonga Tz

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Naomba tujadiliane kwa hili tunajua mapenzi ni pesa zari la pro j halipo siku hizi maana mimi ni mwanamme wa kisukuma kabila letu ndo wanasema si ndo tunaongoza vipi makabila mengine sio muhimu ila tujadili.
 
naomba tujadiliane kwa hili tunajua mapenzi ni pesa zari la pro j halipo siku hiz maana me ni mwanamme wa kisukuma kabila letu ndo wanasema si ndo tunaongoza vp makabila mengine sio muhimu ila tujadili
Hiiiiiiii bhebhe shii kwan uling'hwana nani?? Unene nalingh'wana mbuke..

Wasukuma ndo tunaongoza,maana hatuna swaga nyingi kwenye kuomba kipochi manyoya zaidi yakuhonga tu..

Usishangae msux kahonga bahari,ikiwa tu aliachiya uridhi na babu zake....
 
Siku hizi wakurya tuna pesa nyingi sana, hivyo kuhonga huwa ni moja kati ya matumizi ya hiyo mipesa.
NB. Sie tunahonga kwa machale na akili nyingi sana sio kama mangosha.
 
Wachagga....

Mabebez wote JF ni pm namba zenu niwarushie ya vocha. [emoji23][emoji23]
 
Kipimo sio ukabila ila wanaume wengi ambao ni domo zege wao humwaga mkwanja tu.
 
Hiiiiiiii bhebhe shii kwan uling'hwana nani?? Unene nalingh'wana mbuke..

Wasukuma ndo tunaongoza,maana hatuna swaga nyingi kwenye kuomba kipochi manyoya zaidi yakuhonga tu..

Usishangae msux kahonga bahari,ikiwa tu aliachiya uridhi na babu zake....
bhing'we, nyoo ni shilato sha malalole.... Nene nacha geteh...
Nyani Ngabu, nzughu aha
 
My chaggaaa man..Yesu akutunze baba angu na azidi kukupa mahela mengi uzidi kunitunza[emoji7]
 
Back
Top Bottom