Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hiiiiiiii bhebhe shii kwan uling'hwana nani?? Unene nalingh'wana mbuke..naomba tujadiliane kwa hili tunajua mapenzi ni pesa zari la pro j halipo siku hiz maana me ni mwanamme wa kisukuma kabila letu ndo wanasema si ndo tunaongoza vp makabila mengine sio muhimu ila tujadili
Mmasai labda akuhonge ndama......wanaogopa sana wadada wa kiswahiliWamasai jamani...
Mmasai labda akuhonge ndama......wanaogopa sana wadada wa kiswahili
Asante kwa kulitambua hilo ila ujue unakoelekea utanifilis mda si mrefu mama yoyoo, mbaya zaidi huna asante.Wamasai jamani...
Huyo wako mmasai wa mwendokasi[emoji2][emoji2]mimi wangu haniogopiii
bhing'we, nyoo ni shilato sha malalole.... Nene nacha geteh...Hiiiiiiii bhebhe shii kwan uling'hwana nani?? Unene nalingh'wana mbuke..
Wasukuma ndo tunaongoza,maana hatuna swaga nyingi kwenye kuomba kipochi manyoya zaidi yakuhonga tu..
Usishangae msux kahonga bahari,ikiwa tu aliachiya uridhi na babu zake....
wamasai wanahonga hadi silaha katikati ya pori lenye wanyama hatarishiWamasai jamani...
Kurarekiii duuuuuwamasai wanahonga hadi silaha katikati ya pori lenye wanyama hatarishi