Wanaume wa kaskazini waangaliwe upya wananyanyaswa sana na wanawake zao hakika

Mimi mwenyewe nimeishi kaskazini kwa miaka Mingi. Kwa kweli Wanaume wa Kaskazini hawana say kabisa ndani ya familia.. Ni wanaonewa sana na wake zao kupita maelezo. Wapo radhi kukesha Baa kunywa pombe kali kupunguza manyanyaso na vipigo kutoka kwa Mke.

Sometimes inabidi zianzishwe taasisi za kutetea Haki zao
 
Ulivyoandika maneno mengi yaliyojaa tuhuma na shutuma na kejel ni wazi kunamajeraha moyon mwako ambay msing wake ni watu wa kaskazin owkey tumeona maneno yako lakin tumeskia souti yako 🀠🀠
 
Ni kweli taasisi ziundwe upesi kuwaangalia hawa wanaume wa kaskazini maana wananyanyasika sana
 
mwanamke wa kaskazini anakula kitimoto kilo 2 alafu anakunywa na mbege kitoto ndoo, baada ya hapo usiku anacheulia na safari(bia) kubwa 5.

unakuta kapanda hewani ana kitambi na mwili mkubwa+nguvu, hivyo wanaume wanaogopa kupigwa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni hapahapa Tanzania?Au ni North Korea?
 
Wanawake wa kaskazini bila hivyo hawaendi.
Ishi na mke wa kaskazini kama unaishi na mke wa pwani ulete mrejesho.
Ukanda huo ndo unaenda Kenya hadi Mara huko inatakiwa uwe mwanaume na sio mvulana.
Kama we ni mvulana cheza Kanda ya kati na pwani
 
Kaskazini ni kubwa mno, lqbda ungekuwa specific mkoa upi na jamii ipi ya kaskazini
Kaskazini yote Hadi Kenya Hadi mkoa wa Mara wanawake wa ukanda huu ni hatari sana kwa afya ya akili ya mwanaume.
Feminist by nature don't try this at home,hawajui mapenzi,sio romantic,ni wababe,wakorofi,wagomvi,wanapiga visu hatari,Wana hasira,ujuaji,mdomo,
 
Siyo kupiga tuu visu hata kukutoa uhai wanaweza na nikawaida sana kusikia mwanamke wa huu ukanda kaua mume wake
 
Pana ukweli, nna mpangaji wangu yanamkuta aisee, mkewe anampelekesha mno
 
Mbona Dar ndio wamejaa design hiyo?
 
Katika Hao wanaums Ole Lengai Sabaya ma Godbless Lema na wao wamo?

Chanzo cha wanaume kunyanyaswa ni tabia ya kuhendekeza ngono na kupenda sana K.

Wanawake wakikuona unapenda K wanakuendesha na unakuwa huna Say maana hutaki kuikosa....kadiri siku zinavyoenda unaanza kuwa Mtumwa.

Unaanza kufagia na kufua nguo tukikushtua unatua unatwambia tusikuingilie Mapenzi yako kumbe ni Uraibu wa K ndio unakuendesha.
 
Hahaaa....Hapo Tengeru kund Demu mzuri sana alimkata jamaa Ngwala/mtama akaanguka Puu! kisogo chini.

Mshikaji badala agawe kipigo akakimbilia Polisi, yule demu akakamatwa akatiwa Ndani Siku mbili Tukaenda kumtoa.

Wanaume wa Hapo wamejivunjia heshima wenyewe.

Wakizaa na mwanamke wanamtelekeza badala wapambanw kiume.

Mwanaume wa Kasikazini akioa anataka Mke amsaidie gharama za familia kama chakula, ada, kodi, bili za maji na umeme. Kifupi wanaume wa Kaskazini wanapenda mteremko.

Kwenye dunia hii Ulaya na Amerika Mwanamke ukishampa majukum yako badi jiandae kuchukua majukum yake.

Mara kadhaa tumesikia Nikki wa Pili akisifia wanawake wa kaskazini eti wanajiweza wanasaidia matumizi nyumbani......hii Mentality ukiwa mwanaume achana nayo Wanawake hawaipendi.

Nitawapa mfano ambao sote tunaujua.

Miaka ya nyuma kulikuwa na Dada Mzuri sana, Msomi milionea anaitwa Boss Lady a.k.a Zari, huyu sister alitaka mwanaume anayejielewa.

Ndio maana aliacha umaarufu wake, pesa zake na elimu yake akaenda Kukaa Madalw kupika na Kupakua.

Kwa kuwa aliamini amepata Mwanaumw anayeweza kusimamia show.

Hii ni Tabia ya wanawake woote dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…