Wanaume wa Kenya, nini mulimfanya huyu mtumishi mpaka hasira ziwake hivi?

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Najiuliza nashindwa kupata jibu. Maana huyu mtumishi amewaka hasira na kufikiria kuwaadhibu vikali wanaume wa Kenya. Adhabu anayoifikiria ni kali sana mno. Inaweza kupelekea wanaume kuwa na msongo wa mawazo, kuvunjika kwa ndoa na hata kifo.

Tafadhali fuatilia video hiyo hapo chini.
 
Mpumbavu tu huyo, na wafuasi wake wapumbavu hata zaidi.....
Sijui hawa wafuasi hulishwa nini mpaka mtu anatukana au kufanya mambo ya ovyoo lakini bado wanajazana kwake na kumpigia makofi.

Si ndio kama yale ya Bongo, Gwajima baada ya video yake kuvuja akikata mauno kwa mwanamke, tukamwona anashabikiwa na wafuasi, na pia hata kaalikwa ikulu.
 
Hahaha huyo karukwa na akili
 
Mkuu kwani wewe hukati viuno?

Nakata tena sana kupita maelezo, lakini hutaiona kwenye video, hivi mnajua hizi simu za Wachina humo kuna apps huwa zimefichwa za kijasusi, ukijichukua kwenye video kisiri, utashangaa sana kujiona unatamba kwenye tovuti za watu.
Afrika tumezoea kununua simu, hadi siku tujitengenezee za kwetu tutaendelea full aibu aibu za kuanikwa, unakuta hata ikulu mkulu simu anayotumia kaagiziwa kutoka nje, kila anaachokisema kinasklizwa.
 
Mpumbavu tu huyo, na wafuasi wake wapumbavu hata zaidi.....
Sijui hawa wafuasi hulishwa nini mpaka mtu anatukana au kufanya mambo ya ovyoo lakini bado wanajazana kwake na kumpigia makofi.
Si ndio kama yale ya Bongo, Gwajima baada ya video yake kuvuja akikata mauno kwa mwanamke, tukamwona anashabikiwa na wafuasi, na pia hata kaalikwa ikulu.

Teh teh
😁😂🤣
Subiria akufunge ndiyo fahamu zitakujia. Nyie mnaomponda magazetini ndiyo ataanza na nyie.
 
Teh teh
😁😂🤣
Akikufungia ka nanilii kako usianze kumlilia. Amesema utabaki kumuangalia tu mke wako.
Sasa usiombe timu mafisi wakajua kuwa umefungiwa. Sijui nini kitatokea.
Haha huyo kakosa kazi ya kufanya. Mimi ndio nitamt*mbea mke wake.
 
Dogo huyo jamaa anaingiza mkwanja hapo alipo. Si unaona nyomi ilivyo. wanampigia na makofi. Usiombe mke wako akienda kukusemea kwa huyu jamaa eti kisa umejiunga na timu mafisi. lazima akufunge kananilii...
😛 🙂 🤣 🙃
 
Halafu hii sio video yake ya kwanza kumuona akikwaruzana na wanaume.

Kuna moja niliona akiwasema wachungaji wenzake waachane na mke wake.

Mnamfanya nini mtumishi wa Mungu?
 
Au itakuwa walikwiba mke wake.
😁😂🤣
 
Nakata tena sana kupita maelezo, lakini hutaiona kwenye video, hivi mnajua hizi simu za Wachina humo kuna apps huwa zimefichwa za kijasusi, ukijichukua kwenye video kisiri, utashangaa sana kujiona unatamba kwenye tovuti za watu.
Afrika tumezoea kununua simu, hadi siku tujitengenezee za kwetu tutaendelea full aibu aibu za kuanikwa, unakuta hata ikulu mkulu simu anayotumia kaagiziwa kutoka nje, kila anaachokisema kinasklizwa.
Baba askofu alitulizwa kidogo tu,akaambiwa ukiongea ongea tena tutatoa ile unakula 0.Ilibidi atuunge tu mkono.hakua na jinsi
 
Huyu jamaa anachagua adhabu mbaya sana kwa watu wanaomkosea. Yaani jamaa ana adhabu kali kuliko za Mungu. Maana Yeye anasema, mshahara wa dhambi ni mauti, that is pure and simple. Sasa lijamaa linasema utakuwa unamwangalia mke wako mmmh na mimacho tu. Huyu hafai kabisa.
 
Back
Top Bottom