Mkuu kwani wewe hukati viuno?Gwajima baada ya video yake kuvuja akikata mauno kwa mwanamke, tukamwona anashabikiwa na wafuasi, na pia hata kaalikwa ikulu.
Hahaha huyo karukwa na akiliNajiuliza nashindwa kupata jibu. Maana huyu mtumishi amewaka hasira na kufikiria kuwaadhibu vikali wanaume wa Kenya. Adhabu anayoifikiria ni kali sana mno. Inaweza kupelekea wanaume kuwa na msongo wa mawazo, kuvunjika kwa ndoa na hata kifo.
Tafadhali fuatilia video hiyo hapo chini.
Mkuu kwani wewe hukati viuno?
Mpumbavu tu huyo, na wafuasi wake wapumbavu hata zaidi.....
Sijui hawa wafuasi hulishwa nini mpaka mtu anatukana au kufanya mambo ya ovyoo lakini bado wanajazana kwake na kumpigia makofi.
Si ndio kama yale ya Bongo, Gwajima baada ya video yake kuvuja akikata mauno kwa mwanamke, tukamwona anashabikiwa na wafuasi, na pia hata kaalikwa ikulu.
Haha huyo kakosa kazi ya kufanya. Mimi ndio nitamt*mbea mke wake.Teh teh
πππ€£
Akikufungia ka nanilii kako usianze kumlilia. Amesema utabaki kumuangalia tu mke wako.
Sasa usiombe timu mafisi wakajua kuwa umefungiwa. Sijui nini kitatokea.
Haha huyo kakosa kazi ya kufanya. Mimi ndio nitamt*mbea mke wake.
Baba askofu alitulizwa kidogo tu,akaambiwa ukiongea ongea tena tutatoa ile unakula 0.Ilibidi atuunge tu mkono.hakua na jinsiNakata tena sana kupita maelezo, lakini hutaiona kwenye video, hivi mnajua hizi simu za Wachina humo kuna apps huwa zimefichwa za kijasusi, ukijichukua kwenye video kisiri, utashangaa sana kujiona unatamba kwenye tovuti za watu.
Afrika tumezoea kununua simu, hadi siku tujitengenezee za kwetu tutaendelea full aibu aibu za kuanikwa, unakuta hata ikulu mkulu simu anayotumia kaagiziwa kutoka nje, kila anaachokisema kinasklizwa.