jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
- Thread starter
-
- #21
nenda mitaa ya sleepway uone dada zetu walivo na vibabu tena bila hata aibu..............YOTE NJAA TU.
wala si njaa ni mapenzi kwa taarifa yenu
mmetuchosha na bwebwe zenu
na tutazaa nao sana tu life goes on
ahahaa aa
Mkuu siku moja tembelea pale via via uone vituko au masai club uone mambo vijana wa kiafrica wanavyopapatikia wapate wanawake wa kizungu au wasichana angalau wapate hata babu wa kizungu
Yaani ni kituko, nakuwaga pale Luxe midamingine.... Utaona washkaji wanavyojitutumua mbele ya hivi vitoto!
Ah ila nasikia mzazi unamiliki white chicks kadhaa hapa mjini hahahahaha
Ahhhhaaa, hizo zinaweza kuwa propaganda za wazungu kutudhalilisha, ingawa sikatai kuwa kuna vijana wengi tu wanatafuta wanawake wa kizungu wa kutembea nao pengine hata kufunga nao ndo ili watoke kimaisha. Kwa upande wangu, nasisitiza kujiheshimu na kuthamini utu wako binafsi wewe mwenye tabia hizo. Pia hujitendei haki wewe na nafsi yako kwa kukubali kuishi na hao white women kwa sababu ya njaa! Mwanaume kweli hawezi kukubali kulelewa!
Wacha fujo zako wewe hakuna kitu kama hicho
Sina kitu kama hicho bana
Basi KB!
Ila inabidi uwaonjeshe hako ka kb watoto wa kizungu sio unawaacha ma-ras wa Via via wanajichukulia umaarufu hahahahaha
Tunapenda vizuri tusivyo navyo!Period
Waache maana wao wanatafuta maisha bana
Na wanatafuta wale wamama au bibabu vya pale kwa ajili ya maisha bana
So mkuu huko siingii kabisa
Kabisa na wakibahatika kuwapata hao wamama au wababu wao wanajua watakaa nao kwa muda mfupi na kama ni mshiko watawaachia wa kutosha au watapelekwa njeTimamu mkuu.....!
Kweli hamna pesa mbaya
Kabisa na wakibahatika kuwapata hao wamama au wababu wao wanajua watakaa nao kwa muda mfupi na kama ni mshiko watawaachia wa kutosha au watapelekwa nje
Nakuunga mkono mazee.Mkuu inakuwa hivyo kwa huko Africa lakini ukiwa kwao yaani ughaibuni wanawake weupe ndo wanatamani sana kuwa na waafrica yaani watu weusi... Nionavyo mimi ni ile hamu ya kutaka kujua kuna nini tofauti. Ndio kutoka kimaisha nalo ni jambo linalochangia pia.
nenda mitaa ya sleepway uone dada zetu walivo na vibabu tena bila hata aibu..............YOTE NJAA TU.
Du noma wazeeblack mna real sex??????????????????