Wanaume wa kiafrika... hii bado ni challenge!

Hebu tujielekeze kwa hili la wanaume kuuza utu...
Ujinga wa wanawake hauwezi kuhalalisha ujinga wa wanaume...
Sisi ni vichwa mkuu!

Wala msijifariji, siku hizi wengi wenu mmekuwa bendera fata upepo, yaani hasara tupu!!
 
Wala msijifariji, siku hizi wengi wenu mmekuwa bendera fata upepo, yaani hasara tupu!!

Punguza hisia basi Kipipi. Hapa tunaongea tu yale tunayoyaona, sikuwa na lengo la kuumiza hisia za mtu.
Point yako ni nini?
Binafsi sipendi kushobokea wadhungu, ndo maana pamoja na kauli ya huyo baladhuri Botha kunikera ila inaendelea kupata umaarufu.
 
kweli kabisa......sleeping wit a wwhite gal repressents power.....
 
Mimi nakubaliana kabisa kwamba ngozi nyeusi siku zote inawaza ngono tu. Hakuna cha ziada.
 
mkuu nimesikitika juzi kuona mwanmke wa kitanzania amejitangaza kwenye vitabu vya matangazo kuwa yeye anataka kuolewa na mzungu.hajali umri miaka unene yaani dah! haya ni mapenzi au?
 
Ahsante Kiongozi!
Pia concern yangu imekuwa atleast mtu uendeshwe juu ya mapendo!
Nimekazia kwa wanaume waafrika sababu pia mi ni mwafrika..... Then pia sababu hcho kitu kilipatwa kusemwa na hilo li jamaa!

Kwani wewe unajuaje kwamba haiendeshwi na mapenzi???
 
Kwani wewe unajuaje kwamba haiendeshwi na mapenzi???

Mtu anavyojidhalilisha utajua tu!
Pia hata anavyowekea dhamiri kuwa lazima nipate demu wa kizungu...
Na mengineyo!
 
Mimi nakubaliana kabisa kwamba ngozi nyeusi siku zote inawaza ngono tu. Hakuna cha ziada.
Kwa maelezo haya mkuu...
Kweli umetembea na hotuba ya yule baradhuri mwenye unabii mchafu tunaoutimiza....
Vipi ukija pande hii nikuandalie kitu cha kizungu??
 
mkuu nimesikitika juzi kuona mwanmke wa kitanzania amejitangaza kwenye vitabu vya matangazo kuwa yeye anataka kuolewa na mzungu.hajali umri miaka unene yaani dah! haya ni mapenzi au?

Ila mi kwa hawa dada zetu sina noma sana..
Kwani pia mi sio muumini wa "usawa wa beijing"
 
yeye kataja wanaume hao wnawake unawataja wewe sasa

Achana naye yaani kuna watu hapa JF wanawaza kwa kinyume....
Akiona post anafikiria kumuumbua tu mtuma post.... kazi kweli
 
Interesting perspective.... Kuna comments humu ndani zimenifurahisha kweli yaani....lol... Power?? yawezekana kweli lakini...
 
Interesting perspective.... Kuna comments humu ndani zimenifurahisha kweli yaani....lol... Power?? yawezekana kweli lakini...

si unajua tena ndio mambo ya kileo haya!
Who cares!!?
Hata mi nmeshindwa kuelewa hyo power inakujaje sasa.
 
Tuache insecurities zisizo na maana, kuanza kuotea watu wako pamoja kwa ajili ya mapenzi au hela wewe inakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…