Wanaume wa mtaa wa Kariakoo jiandaeni kisaikolojia!

Wanaume wa mtaa wa Kariakoo jiandaeni kisaikolojia!

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,285
Leo sauti za mitandao yote ni mo mo mo!
Mo sasa itakuwa mee!

Heri ya wale omba omba kule mtaa wapili walishajizoelea!

Sasa nyinyi wanaume mtaa ule wa mo mmening'iniza mipu....bu yenu kazi yenu kumsifia mwanaume mwenzenu. Mwisho umefika kwenu aibu imewafika hamtakuwa na pakujificha tena

Pengine mlizoea kusukuma ukuta sasa mo hataki tena maana tigo zenu hazina network.

Hahhaaaaaa! Madume mazima kila kukicha ni kusifia mwanaume mwenzao loh!

Mtauza nini tena? Mtasukuma nn tena kuta zote zimeanguka
IMG-20190704-WA0010.jpeg
IMG-20190704-WA0005.jpeg
 
Unaamini habari za punga shaffih dauda shauri yako, huyo hata akikwambia Ronado kafunga goli inabidi uhakikishe kwenye vyanzo vingine
 
Mbona hii habari ni ya muda sana tu toka asubuhi wewe unaleta saizi ulikuwa umelala au!
Jiandaeni kisaikolojia na hayo mashimo alochimba ndo keshawaachia ulemavu!
 
Unaamini habari za punga shaffih dauda shauri yako, huyo hata akikwambia Ronado kafunga goli inabidi uhakikishe kwenye vyanzo vingine
Uamini uniamini huwezi kuuondoa ukweli
 
Hahahaahahahahahahh Hilo ni dume aiseee jamii yake James delicious.
Ila jiandae kwa matusi maana watu wenye tabia hizo huwa wanapaniki vibaya sana.
Atakuwa kajipalia moto kichwani mwenyewe mimi ni expert wa hayo
 
Hahahaahahahahahahh Hilo ni dume aiseee jamii yake James delicious.
Ila jiandae kwa matusi maana watu wenye tabia hizo huwa wanapaniki vibaya sana.
Mtasema yote lkn jueni njaa imeingia
 
Back
Top Bottom