Hii situation ya Wanaume wa Mtwara kujikusanya sehemu Moja kisa wanaogopa Upepo tena upepo wenyewe unaitwa jina la mwanaume mwenzao hii ni aibu ya Karne, ingekuwa Dar wangeongea sana*
*Wanaume wa Dar Embu jipongezeni kidogo*[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]