Wanaume wa New York City (NYC)

Wanaume wa New York City (NYC)

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
990
Nikichoka napitia thread za ajabu ajabu......humu JF
Basi nikakutana na ya Wanaume wa Dar.......Imechambuliwa weeeeeeeeeeeeeee
Halafu wamechoka wameanza Wanaume wa Nairobi.............
Najua wakimaliza wataanza wanaume wa NYC (New York City).........
Hapo Donald Trump inamhusu.....
Mwisho tutasema Wanaume wa Majiji...kuna kila sababu ya kuwasema: wana mambo ya ajabuajabu....lakini pia hukohuko ndiyo kuna wanaume waliozidi wanaume wengine.
 
Huko new york pande za brooklyn ndio wanatoka magangster wa ukweli kina lil kim,jay z etc
 
Waarabu wa Tanga walimfunga Simba majuzi
 
Back
Top Bottom